LUIS ENRIQUE NIPO TIYARI KUCHUKUA NAFASI YA ARSENE WENGER
LUIS ENRIQUE NIPO TIYARI KUCHUKUA NAFASI YA ARSENE WENGER
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Star , kocha Luis Enrique anaivizia kazi ya kuinoa Arsenal kuliko Chelsea , ikitegemeana kama kocha Arsene Wenger ataondoka Emirates mwishoni mwa msimu.
Kocha huyo wa zamani wa Barcelona ambaye akiwahi kufanya kazi Nou Camp kwa jumla ya miaka mitatu , amehusishwa sana na kuhamia Uingereza tangu Desemba mwaka jana.
No comments