BREAK NEWS

MANCHESTER CITY AWA MBABE ZIDI YA CHELSEA



#mchomonews: Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza #EPL. Goli pekee la ushindi la Man City limefungwa na Bernando Silva katika dakika ya 46 ya mchezo huo.


No comments