MPIRA UMEAHIRISHWA KATI YA TZ PRISONS NA MBAO
Waamuzi wa mchezo kati ya Tanzania Prisons na Mbao FC wamevunja mchezo huo katika dakika ya 50 kutokana na mvua kubwa inayonyesha mkoani Mbeya. Pande zote zimekubaliana mchezo huo kumaliziwa kwa dakika 40 zilizobaki kesho saa nne asubuhi.
No comments