Nahodha wa Simba, John Bocco amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri kuelekea katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Al Masry. Bocco amewaomba washabiki wa Simba na watanzania wote kwa ujumla kujitokeza kesho kwa wingi uwanjani kuwasapoti.
No comments