##mchomonews: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametangaza Mei 17 kuwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni ya kuifanyia mabadiliko katiba ya nchi hiyo.
Iwapo wapiga kura wataunga mkono mabadiliko hayo watakuwa wamemsafishia njia Rais Nkurunziza kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
No comments