BREAK NEWS

Rais Vladimir Putin amechaguliwa tena kuingoza Urusi



#mchomonews: Rais Vladimir Putin amechaguliwa tena kuingoza Urusi baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo kwa kupata kura milioni 55.4 (76.64%).

Akizungumza katika mkutano wa kutangazwa mshindi amesema ushindi wake ni matokeo ya hatua kubwa ya mafanikio aliyoyafikia katika uongozi wake.

No comments