BREAK NEWS

TFF imetumia bil 3.7 kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya uendeshaji wa ligi, FA



Wallace Karia - Mafanikio ya TFF
:
TFF imetumia bil 3.7 kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya uendeshaji wa ligi, FA za mikoa, wafanyakazi na mafunzo mbalimbali.
:
Uongozi mpya ulikuta deni la Bil 1.2 kutoka wa TRA, Mfuko wa Jamii (NSSF), wafanyakazi na watoa huduma mbalimbali ndani ya Shirikisho, kwa sasa TFF imekamilisha malipo ya madeni hayo.
:
Tumepunguza Idadi ya wafanyakazi kutoka 44 mpaka 21 walipo sasa,
Wengi waliopo sasa wanajitolea na wengine wanafanya mafunzo kwa vitendo.. tutakaowaona wana uwezo mzuri tutawapa nafasi ya kupata ajira

No comments