TIZAMA MVUA ILIVYOLETA MAFURIKO KENYA
Mvua kubwa imekuwa ikinyesha katika maeneo tofuati nchini Kenya na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo na kwingine barabara kutoweza kutumika. Kumeshuhudiwa foleni ndefu za magari huku baadhi ya
madereva wakilazimika kulala barabarani usiku kucha kusubiri njia zifunguke. Hatua iliyozusha mjadala miongoni mwa raia kuhusu namna ya kushughulikia majanga nchini yanayotokana na mvua kubwa kama hizo.

No comments