BREAK NEWS

MATOKEO NA MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA APRIL 07-2018




Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliofanyika katika dimba la Mwadui Complex-Shinyanga
Katika mchezo huo wenyeji Mwadui Fc wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Majimaji FC.
Magoli ya Mwadui Fc yamefungwa na Paul Nonga dakika ya 6 na 56, na Miraji Athuman dakika ya 45+2.
Magoli ya Majimaji Fc yote yamefungwa Marcel Kaheza katika dakika ya 64 na 85.
Huu ni msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara, baada ya ushindi ilioupata Mwadui Fc wa mabao 3-2 dhidi ya Majimaji FC, Mwadui imepanda kutoka nafasi ya 13 hadi nafasi ya 10 kwa kufikisha pointi 23 huku Majimaji wakiendelea kubaki mkiani mwa msimamo kama unavyoona hapa chini.

No comments