Mhandisi Hamad Masauni amekiri kuwepo msongamano mkubwa wa wafungwa
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekiri kuwepo msongamano mkubwa wa wafungwa katika magereza yote yalipo nchini, nakusema kwa kutambua hilo serikali inachukua hatua ya kuwapunguza wafungwa hao kupitia sheria zilizopo za magereza.
Ungekuwa na mamlaka hayo wafungwa wapi ambao wewe ungewaachia huru?
No comments