Tanzania imefuzu hatua ya Fainali ya mashindank ya CECAFA U17 baada ya kuichapa Kenya 2-1 leo katika mchezo wa Nusu Fainali. Serengeti Boys watacheza fainali dhidi ya Somalia wikiendi nchini Burundi.
No comments