RATIBA YA MECHI 9 ZA SIMBA ZILIZOBAKI MSIMU HUU
RATIBA YA MECHI 9 ZA SIMBA ZILIZOBAKI MSIMU HUU
1:April 09-2018, Mtibwa Sugar wataikaribisha Simba Sc saa 16:00 kwenye uwanja wa Jamhuri-Morogoro
2:April 12-2018, Simba Sc wataikaribisha Mbeya City saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam
3:April 16-2018, Simba Sc wataikaribisha Tanzania Prisons saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam
4:April 20-2018, Lipuli Fc wataikaribisha Simba Sc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Samora-Iringa
5:April 29-2018, Simba Sc wataikaribisha Young Africans saa 16:00 kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam
6:May 06-2018, Simba Sc wataikaribisha Ndanda Fc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam
7:May 13-2018, Singida United wataikaribisha Simba Sc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Namfua-Singida
8:May 19-2018, Simba Sc wataikaribisha Kagera Sugar saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Uhuru-Dar es salaam
9:May 26-2018, Mechi ya kufunga msimu wa 2017-2018 kwa Simba Sc, itakuwa kati ya Majimaji Fc dhidi ya Simba Sc saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Majimaji-Ruvuma.
No comments